Flickr Photos

Gallery

CHUMBANI ZAIDI: MMH...MPENZI WANGU HUYU MI SIMUELEWI..KILA TUKIWA KWA ROOM ANATAKA...!

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 nina boyfriend wangu ambae nampenda sana na yeye ananipenda mpaka ndugu zake wananitambua ila tatizo lililopo huyu boyfriend wangu anapenda sana kufanya mapenzi.

Hawezi kukaa faragha na mimi bila kufanya mapenzi na hata ikitokea labda kama ni siku mbaya hivi hivi anakuwa hawezi kujizuia na nikimuuliza ananiambia ndio nijue sina mwenzangu muda wote ananifikiria mimi ndio maana tukikaa pamoja anakuwa nahisi kubwa juu yangu.

Je, hili ni kweli anamaanisha anachonambia au ni vipi?! Na vipi kama ndio tabia yake kupenda kufanya mapenzi kila wakati akinioa itakuaje?!Mwisho kabisa naomba kuuliza naweza kumsaidia vipi ili twendw sawa?!
Tag : Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "CHUMBANI ZAIDI: MMH...MPENZI WANGU HUYU MI SIMUELEWI..KILA TUKIWA KWA ROOM ANATAKA...! "

Back To Top