Flickr Photos

Gallery

Housegirl anataka zamu sawa na mke wangu!


Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!
BEKI3
Tag : Cate-Udaku
0 Komentar untuk "Housegirl anataka zamu sawa na mke wangu! "

Back To Top