Flickr Photos

Gallery

KAJALA AKAA MAPAJA NJE , MITEGO YA MAKUSUDI


Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.

Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo yake muhimu.
 
Kutokana na hali hiyo, alichukuwa pochi yake na kuiweka mapajani na kufanikiwa kujiziba, lakini licha kufanya hivyo alikosa raha.
0 Komentar untuk "KAJALA AKAA MAPAJA NJE , MITEGO YA MAKUSUDI"

Back To Top