Flickr Photos

Gallery

WEMA ATOA DAU LA MILIONI 1 KWA ATAKAYE MWONA MBWA WAKE ALIYEPOTEA



Mbwa wa Wema Sepetu aitwae Vanila.
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi karibuni.

Beautiful Onyinye, Wema Sepetu.

Akielezea ishu hiyo, Wema alisema mbwa huyo alikuwa na mwenzake akiishi nao nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo juzikati alikorofishana na mwenzake aitwae Thiona na kuamua kutokomea kusikojulikana.
0 Komentar untuk "WEMA ATOA DAU LA MILIONI 1 KWA ATAKAYE MWONA MBWA WAKE ALIYEPOTEA"

Back To Top