Flickr Photos

Gallery

AJALI YA KUTISHA YATOKEA MWANZA (samahani kwa picha)


Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya Muendesha Pikipiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.

Waendesha bodaboda washauriwa kuwa makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa kijiweni. 
 Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori. 
 Watanzania wenzangu tuweni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.
Tag : AJALI

Related Post:

0 Komentar untuk "AJALI YA KUTISHA YATOKEA MWANZA (samahani kwa picha)"

Back To Top