Mwanaume
mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa na tabia chafu ya
kuwafanyisha mapenzi wanawake mithili ya wanyama ndani ya jumba lake
la kifahari.......Chanzo
chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba hiyo ya kifahari ipo maeneo ya
Mbezi Beach, ambapo wasichana hualikwa na kunywa pombe baadaye hupigwa
picha za utupu.
Mtandao
huu umefanikiwa kupata picha zilizopigwa ndani ya jumba hilo na
nyingi zinaonesha watu wakifanya mapenzi ama mwanaume na mwanamke au
mwanamke na mwanamke.
Baadhi
ya picha zilizopigwa katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa
kuandikwa , huku baadhi ya wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au
kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa nje.
Picha hizo, zinaonesha wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa kimahaba.
Habari
zinadai kuwa ndani ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa
zikifanyika mara kwa mara na waalikwa huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula
bata.
Aidha,
imeelezwa kuwa washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi
100,000 baada ya sherehe na haijulikani picha hizo chafu hupelekwa
wapi baada ya shughuli.
0 Komentar untuk "BAADA YA POMBE KUKOLEA WAVUA KILA KITU NAKUANZA KUFANYA YAO"