Flickr Photos

Gallery

BEEF KATI YA SHETTAH NA YOUNG KILLER...shetah amtolea uvivu


kill
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer kusemekana kumpiga msichana huyo.
Inavyosemekana majirani wa Young killer walimwambia Shettah kuwa akae na Young Killer ili amfahamishe mwenzake tabia ya kumpiga msichana sio nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa baina ya Young Killer,Shettah na Soud Brown.

Related Post:

0 Komentar untuk "BEEF KATI YA SHETTAH NA YOUNG KILLER...shetah amtolea uvivu"

Back To Top