Diamond
Platnumz prezda wa wasafi akifanya makamuzi Kansas City siku ya
Jumapili July 6, 2014 katika kukamulisha sherehe za uhuru wa Marekani
onesha lake likihudhuriwa na mashabiki wa Afrika Mashariki wakiwemo
wazawa kibao waliojitokeza kumuunga mkono.
- See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/07/tazama-picha-10-za-show-ya-diamond.html#sthash.3PeLyJQB.dpuf
0 Komentar untuk "DIAMOND PLATNUMZ APIGA SHOW YA KIPEKEE MAREKANI"