Flickr Photos

Gallery

DIMPOZ AKUMBUKA SIKU YA KWANZA WEMA NA DIAMOND WALIPOKUTANA

Screen Shot 2014-03-28 at 1.52.37 AMScreen Shot 2014-03-28 at 4.07.47 AMInaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia mpaka kuvalishana pete ya uchumba.

Pamoja na yote waliyopitia bado kalamu za Waandishi mbalimbali zilihusika kuwaandika.
Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond kitambo hata kabla hatawa staa (Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha Wema na Diamond walipokutana kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii caption hapa chini.
Screen Shot 2014-03-28 at 1.52.48 AM

Related Post:

0 Komentar untuk "DIMPOZ AKUMBUKA SIKU YA KWANZA WEMA NA DIAMOND WALIPOKUTANA"

Back To Top