Beranda »
Tanpa Label »
HATARI SANA: KUWA NA MSICHANA MKALI YATAKA MOYO...SOMA UJUMBE HUU TOKA KWA HUYU MDADA...
HATARI SANA: KUWA NA MSICHANA MKALI YATAKA MOYO...SOMA UJUMBE HUU TOKA KWA HUYU MDADA...
NIMEKUTANA NA HII STORY MTANDAONI TOKA KWA WALL YA MDADA
MMOJA MURUA MATATA NIKAONA NISIWE MCHOYO NISHEE NAWE MDAU..!
Sasa
leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume. Mwanamke mzuri anahitaji
pesa jamani, usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna
mkwanja mrefu,hilo sahau abisa.
Vinginevyo
utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo
ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo. Unakuta mkaka unawasiliana nae
wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa
kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando? Wallah
mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz
hatutoendana unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha
ya mafuta ya kukufata inahuuu Badilikeni basi.
0 Komentar untuk "HATARI SANA: KUWA NA MSICHANA MKALI YATAKA MOYO...SOMA UJUMBE HUU TOKA KWA HUYU MDADA... "