Flickr Photos

Gallery

HUU NDIO MJENGO NA MAGARI YA PROFESA JAY

 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
 hongera sana kwa hatua uliyofikia..
 Inapendeza eeeh!
  Nyumba iko MBEZI ya KIMARA jijini DAR ES SALAAM .
Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba  mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake  ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana NA shughuli zake za muziki.

Tag : BONGOFLAVA
0 Komentar untuk "HUU NDIO MJENGO NA MAGARI YA PROFESA JAY"

Back To Top