Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa
za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo
wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna.
Baada
ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kujikata sehemu zake za
siri,Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa
polisi mkoa wa Kilimanjaro.
0 Komentar untuk "JAMAA ALIYEMPASUA KICHWA MTOTO KISHA KULA UBONGO WAKE HUYU HAPA."