Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
. Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.
Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi “tongue/French kiss”
0 Komentar untuk "KANYE WEST ATOA SOMO KUHUSU 'FRENCHKISS'"