Flickr Photos

Gallery

KUFURU: MAYWEATHER AMZAWADIA MPENZI WAKE GARI LA MIL600 KAMA ZAWADI YA KUZALIWA

Bingwa boxing na moja kati ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi sana Floyd Mayweather ameamua kumnunulia gari la kifahari girlfriend wake Bad Medina hata kabla siku ya birthday haijafika.

Gari hilo lenye thamani zaidi ya milioni 600 ameli-post kwenye instagram na kuandika I know your birthday is on July 27th but here is an early birthday gift @badmedina.
Gari lenyewe ni custom Phantom Rolls Royce, lakini Floyd Mayweather ana tabia ya kuchukua zawadi zote kwa alizowahi kumnunulia girlfriend wake pale wanapoachana. Hii ilimtokea ex girlfriend wake Shantel Jackson...
Tag : Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "KUFURU: MAYWEATHER AMZAWADIA MPENZI WAKE GARI LA MIL600 KAMA ZAWADI YA KUZALIWA"

Back To Top