Utata: Mario Balotelli aliposti picha akijilengesha bastola kwenye mtandao wa Instagram kabla ya kuifuta.
MTUKUTU Mario Balotelli ameposti picha yake iliyoonekana kama anajilengesha bastola kwenye mtandao wa Instagram.
Mshambuliaji huyo wa Italia alionekana akijilengesha bastola mbele ya kamera na akaisindikiza kwa maneno yaliyosema
Nyota huyo mwenye miaka 23 baadaye alifuta posti hiyo.
Mzee
wa ndosi: Mario Balotelli akiruka juu ya Gary Cahill na kufunga bao
katika ushindi wa 2-1 kwenye fainali za kombe la dunia dhidi ya Englad
Mario Balotelli akishangilia bao lake dhidi ya England mwezi uliopita nchini Brazil.
Akipunguza
maumivu ya kutolewa kombe la dunia: Mario Balotelli alionekana akiwa
katika raha kubwa na mchumba wake Fanny Neguesha mjini Miami.
Balotelli
kwasasa yupo likizo mjini Miami pamoja na mchumba wake Fanny Neguesha
baada ya Italia kutupwa nje ya kombe la dunia katika hatua ya makundi.
Juni 15 mwaka huu, nyota huyu alifunga bao la ushindi ambapo Italia iliifunga England mabao 2-1
Tag :
cate-michezo
0 Komentar untuk "KWA PICHA HIZI BALOTELI MARIO BALOTELI AKIMBIZWE MIREMBE"