Mke wa Mbunge inasemekana aliwajibu mashuhuda kwa lugha ya kejeli na kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani serikali ni yao, na CCM ndiyo inayoongoza dola, kwamba mahakama yetu, polisi wa kwetu, hakuna kima atakayenigusa. Alifoka mke wa Chami.
MKE WA MBUNGE AMUUA HOUSEGIRL WAKE
Mke wa Mbunge inasemekana aliwajibu mashuhuda kwa lugha ya kejeli na kuwaambia hakuna mtu anaweza kumfanya chochote hata akimwua, kwani serikali ni yao, na CCM ndiyo inayoongoza dola, kwamba mahakama yetu, polisi wa kwetu, hakuna kima atakayenigusa. Alifoka mke wa Chami.
0 Komentar untuk "MKE WA MBUNGE AMUUA HOUSEGIRL WAKE"