Flickr Photos

Gallery

MMASAI AWA MR TANZANIA MWAKA HUU....picha kbao

Kibongo bongo sana sana tuko makini katika kujua miss yupi kachukua kila mwaka na ni ngumu kusikia mtu akiulizia je mr tanzania ni nani kwa mwaka husika, na wengi hawajui kama mashinndano hayo yapo na yanaendelea kila mwaka na mpaka sasa taji hilo la mr da analishikilia Lota mollel ambaye kwa siku ya leo tumefanikiwa kukusanyia picha zake zote, kazi kwenu vijana wenuye vifua vipana jaribu kuulizia ,jini hapa ujue jinsi gani unaweza kushiriki mashindano hayo ya kila mwaka mashindanio hayo uhusisha pia ubunifu mbali mbali ambao uonyeshwa na washiriki kwa kupita majukwaani 



Tag : Cate-Udaku
0 Komentar untuk "MMASAI AWA MR TANZANIA MWAKA HUU....picha kbao"

Back To Top