katika kile kinachoonyesha kuwa ni shobo kwa msanii davido mdada huyu
maarufu hapa bongo amechora tatoo kiunoni ambayo ina jina la msanii
davido, huku watu wakimponda kwamba hizo ni ndoto na wala davido hajui
hata kama kuna mtu kama yeye duniani, haha lakini mwenyewe amedai ni
kushow love, ipo tu siku atachora ya diamond au alikiba
Tag :
MAAJABU
0 Komentar untuk "MUONE HUYU MBONGO AJICHORA TATTOO YA DAVIDO SEHEMU NYETI"