Daaah hii ni NOUMA...mwanadada Nick Minaj wakati ana PAFOMU alifanya
kitendo ambacho kiliwapagawisha mashabiki ile mbaya....HATARI....kwanza
alibebwa juu kwa juu na DRAKE wakati waki-PAFOMU na baadaye akaamua
kuivuta juu BRAUZI yake juu na kuacha MATITI
akinin'ginia...hehehe HATARI SANA.....IN THE NAME OF INSTAGRAM: Jionee mwenyewe!!
akinin'ginia...hehehe HATARI SANA.....IN THE NAME OF INSTAGRAM: Jionee mwenyewe!!
0 Komentar untuk "NICKY MINAJ AINUA SHATI NA KUWAONENYA WATU MAZIWA"