Flickr Photos

Gallery

ROSE NDAUKA AMGEMEA MMEWE NANIHII KISA MWEZI MTUKUFU

Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka katika pozi.
Akipiga stori na Ijumaa, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.
 
Rose Ndauka akiwa na mumewe, Malick Bandawe 
 “Mimi sifungi hivyo nimeona pia ni jambo la busara kumpa nafasi mwenzangu kwa ajili ya kufanya ibada hiyo, mwezi ukiisha nitarudi na maisha yetu yataendelea kama kawaida,” alisema Rose ambaye awali alikuwa akiishi na mumewe huyo Tandale jijini Dar.

Related Post:

0 Komentar untuk "ROSE NDAUKA AMGEMEA MMEWE NANIHII KISA MWEZI MTUKUFU"

Back To Top