UNAJUA KUHUSU UHUSIANO WA TID NA RACHEL...click Bagikan : Tweet MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’. Tag : Cate-BongoFlava, Cate-Mapenzi, UDAKU Previous Newer Post Next Older Post
0 Komentar untuk "UNAJUA KUHUSU UHUSIANO WA TID NA RACHEL...click"