Vijana wakipata joto ya
jiwe baada ya kukutwa mchana wa Ramadhaan Machomanne Chake Pemba
wakifanya mambo kinyume na maadili ya mwezi mtukufu.
Elimu bado inahitajika kwa waumini kuweza kufahamu na kuelimishwa kuhusiana na funga kwani licha ya kuwa ni amri kutoka kwa Allaah Subhaanahu Wata'ala pia ni moja katika nguzo kuu tano za dini ya kiislamu.

Kula
kwa makusudi au kufanya jambo litakalobatilisha funga kwa makusudi
mchana wa Ramadhaan si kwamba kunabatilisha funga tu bali kunaweza
kukutoa katika dini pia kwa mujibu wa baadhi ya Maulamaa kwa kuikana
moja katika nguzo za kiislamu.
Tusichoke kuwakumbusha ndugu umuhimu wa kujitambua na kujielewa kwamba ni Waislamu na tutaulizwa na Muumba siku ya siku
Tusichoke kuwakumbusha ndugu umuhimu wa kujitambua na kujielewa kwamba ni Waislamu na tutaulizwa na Muumba siku ya siku
Tag :
Cate-BongoFlava,
VITUKO
0 Komentar untuk "WACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUNASWA WAKILA KWENYE RAMADHANI"