Kama
kawaida Nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa nini wadada wengi wamekuwa
wakifanya haya wanayoyafanya kuanika Picha za maumbo yao na kuanika
sehemu nyeti hadarani??... Hawa dada zetu hasa waliopo vyuoni wamekuwa
wakifanya biashara hii ya ukahaba kupitia Mitandao ya kijamii hasa
Facebook kwa kutupia Picha zizokuwa na maadili ya kitanzania. Lakini
kikubwa ni kwamba wadada hawa wanatafuta mabwana kinguvu huku
mitandaoni.. kwa minadi yakuwa Mikopo ya chuo haitosh..
Onyo kwa Vijana wote wa kiume chukueni Tahadhari na hawa walimbweni maana si kingine wanachosambaza bali ni Ukimwi.
Tag :
Cate-Laana
0 Komentar untuk "WANAFUNZI WA CHUO WANAENDELEA KUJIUZA FACEBOOK....ONA ZA HUYU"