Flickr Photos

Gallery

WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU PENNY


STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu
amesema baada ya kutokuwa na maelewano
kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu
Bongo, Peniel Mungilwa ‘ Penny’ , sasa
ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani .
Staa wa sinema za Kibongo , Wema Sepetu .
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Wema
alisema : “Kwa moyo mweupe , nasema
nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye
popote nitasalimiana naye kama kawaida .
Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti
wa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu
ipokelewe vyema kwa Mungu 

Kwa upande wa Penny alifunguka : “Siwezi
kusema nitamchukia Wema ila nimekubali
matokeo , sina tatizo naye tena ingawa najua
hatuwezi kuwa marafiki tena kama zamani,
lakini yaliyopita yameshapita .”
Wema na Penny walikuwa na bifu kwa muda
mrefu, chanzo kikiwa Penny kuingilia
uhusiano wa Wema kwa Mwanabongo Fleva ,
Nasibu Abdul ‘ Diamond ’
Tag : WEMA
0 Komentar untuk "WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU PENNY"

Back To Top