msanii wa bongo flava tundamani amejikuta katika wakati
mgumu baada ya kukamatwa kwa mda nchini Kenya kabla ya kuachiwa huru.
tukio Zima lilitokea pale ambapo tundamani alshndwa kusimama kwenye
kizuizi barabarani jambo lililowafanya maafisa wa polisi kumfukuza kwa
nyuma na kumkamata wakijua ni gaidi. hata hvyo baada ya mahojiano ya mda
mrefu tunda aliachiwa huru
0 Komentar untuk "MAJANGA!!! TUNDAMAN ATIWA MBARONI KISA ......click"