Baada ya ile sakata la wapenzi na mashabiki wa wema sepetu kuanzisha kampeni yao ya #brick back our wema# sasa nae meneja wa wema wa sepetu afunguka ya Moyoni na huu ndio ukweli wenyewe.
Juu ndio ujumbe alioandikiwa meneja wa mrembo Wema Sepetu anayeitwa @mrekebishatabia. Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show Mwanza, mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo mashabiki walio wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo anavyo zunguka na hawajui anafanya nini.
Wema ana mashabiki wengi sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake baada ya swali hilo hapa chini ndo jibu alilitoa kaka meneja wa Wema amejielezea vizuri sana.
0 Komentar untuk "MARTIN KADINDA AWAPINGA WAPENZI WA WEMA IKIWEMO DIAMOND"