Naombeni unishauri kwasababu mpenzi wangu kabla ya tendo huwa namuandaa
vya kutosha namyonya kila kona siachi sehemu mpaka anakataamwenyewe
lakini kinacho nishangaza nikianza kuingiza tu huwa analalamikaanaumia
mpaka analia sasa mie nashindwa kumuelewa. tatizo ni nini?" Hello Mick,
asante kwa ushirikiano. Kuna machache yanayoweza kusababisha mpenzi wako
kulia na la kwanza ni hili, huenda wewe ndio unaamini kuwa unamuandaa
vyakutosha labda kwasababu wewe unakuwa tayari kama sio kuwa umechoka kwa vile
unazingatia maeneo unayoyajua wewe na sio yale "yanayoibua" hisia za
mpenzi wako. Pili, kama baadhi ya wachangiaji walivyogusia, inawezekana
maumbileyako ni makubwa kwa mpenzi wako na hajayazoea (inachukua muda
kidogo mpaka aizoee). Tatu, Kunauwezekano kuwa mnafanya ngono mara
chache, kwasababu mwanamke akikaa muda mrefu bila kufanya ngono uke wake
"husahau" na siku akifanya ngono hupatwa na maumivu mwanzoni lakini
baada ya muda kidogo huku wewe mwanaumeukifanya taratibu na kumpa
matumani kuwa unafanya polepole huku unamfanya ki-passionate maumivu
huisha na kila kitu kinakuwa safiii mpaka mwisho.Nne, huenda mnafanya
kwa wizi (kama bado ni mwanafunzi, anaishai kwao na mnafanya ngono kwa
washkaji n.k), hamtumii kinga (hofu yakushika mimba/magonjwa ya zinaa),
sumu ya utamu wa ngono kwa mwanamke ni kuifanya ukiwa na hofu, hakika
hutoweza kuwa tayari
Tag :
Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "NIKIINGIZA TU ANALIA..........ananikera"