Mtangazaji
wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki
kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha
akiwa amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio
hilo akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na
kumuweka wazi mpenzi wake…..
Akiongea na mwandishi wetu, rafiki wa karibu wa Penny amesema kuwa jamaa aliyemvalisha pete ni kigogo mwenye pesa chafu anayemiliki migodi kadhaa ya madini anayefahamika kwa Jina la Johnson raia wa Angola….
Rafiki huyo amesema kuwa kutokana na jeuri ya pesa ya kigogo huyo, Penny anatarajia kufanyiwa bonge la harusi na watafanya kila namna ili Diamond awe mtumbuizaji katika sherehe hiyo

0 Komentar untuk "PENNY AAPA KUMLIPA DIAMOND AMCEZEE KWENYE HARUSI YAKE NA JAMAAKE MPYA"