Ni
aibu iliyoje! Mrembo mmoja, mkazi wa Kigogo, Dar es Salaam, aliyedaiwa
kuwa ni mchumba wa mtu ambaye jina lake halikupatikana, alikatikiwa
mshipa wa aibu na kuvua nguo katikati ya sherehe ya ‘birthday’ ya mtoto.
Kwa mujibu wa habari, tukio hilo lililojaa laana lilijiri ndani ya
Ukumbi wa Palm Tree Kigogo, Dar, Juni 19, mwaka huu ambapo kulikuwa na
sherehe ya kuzaliwa mtoto aliyetajwa kwa jina moja la Junior aliyekuwa
akitimiza miaka mitano ( 5 ). Fungua na uonnejinsi ilivyo kuwa....Chanzo
hicho kilieleza kwamba, mnyange huyo ambaye alikuwa mmoja wa wageni
waalikwa, alitimba ukumbini hapo akiambatana na mwanamume aliyedaiwa ni
mchumba’ake.
Kilidai kwamba, mara baada ya kujitwalia moja ya meza ukumbini hapo,
wawili hao walianza kugida ulabu kwa staili ya ‘tuone nani mkali wa
kumeza maji’.
MPEKUZI
wetu alidadavua kwamba, haukupita muda mrefu, mwanamume aliyeambatana
na mrembo alionekana akizungumza na simu ambapo alimwacha mwanadada huyo
na kutoka nje.
Ilidaiwa kuwa, kitendo hicho kilimpa nafasi mrembo huyo ambaye alianza
kufanya madudu mbele ya kadamnasi bila kujali idadi kubwa ya watoto
waliokuwa ukumbini.
AANZA KUPANDISHA KIGAUNI
Chanzo chetu kilidai kuwa, inaelekea jamaa aliyekuwa na mrembo huyo alipata ‘dharura’ hivyo hakurejea.
Ilisemekana kwamba, muda wa kutoa zawadi ulipowadia, mchumba huyo wa mtu
alichafua hali ya hewa baada ya kuanza kupandisha kigauni kifupi
alichokuwa ametinga na kuacha nusu ya mwili wake sehemu yote ya chini
ikiwa wazi.
AMALIZIA HADI ‘KUFULI LAKE ’
Chanzo
kiliweka wazi kwamba, mrembo huyo alimazia kuvua nguo nyingine hadi
‘kufuli’ na kubaki mtupu kama alivyozaliwa hivyo kuwafanya watoto
kushuhudia sinema ya bure.
ATOA ZAWADI ZAKE KWA MAKALIO AKIWA UCHI WA MNYAMA
Iliendelea kudaiwa kuwa, mrembo huyo aliharibu kila kitu pale
alipochomeka noti ya buku 10 kwenye nyeti zake na kwenda kumtunza mama
wa mtoto.
“Kama
hiyo haitoshi, yule binti aliweka sharti kuwa hakuna kupeleka ‘hela’
kwa mama mtoto na badala yake watu wamuwekee kwenye makalio.
“Wapo waliokubali ‘then’ akaenda na kumlazimisha mama mtoto azichukue,” kilisema chanzo hicho.
Chanzo
kiliendelea kuweka kweupe kwamba, mara baada ya kuona tukio hilo,
baadhi ya wazazi waliokuwa na watoto wao ukumbini hapo walimaindi hivyo
kuondoka kwa aibu.
0 Komentar untuk "18+ KWELI HUU NDIO MWISHO WA DUNIA"