MSANII wa filamu ambaye pia anafanya muziki, Zuena Mohammed
‘Shilole’ na demu mwenzake aliyefahamika kwa jina la Hawa Juma ‘Mama
Ayana’ hivi karibuni waliwaacha watu midomo wazi baada ya kugandana
kimahaba mbele za watu.
Tukio hilo lilitokea Msasani jijini Dar kwenye ufukwe wa Bahari ya
Hindi ambako kulikuwa na pati ya kusherehekea kuzaliwa kwa Hawa.
Wakiwa eneo hilo, wawili hao walionekana kuwa karibu sana na lilipofika
zoezi la kulishana keki na kufika zamu ya Shilole aliyekuwa MC, Hawa
aliweka pembeni ‘stiki’ aliyokuwa akiitumia kulishia watu wengine kisha
kutumia mdomo wake kumlisha msanii huyo.
Kitendo cha wawili hao kugandishiana midomo yao huku wakionekana
wenye hisia, kilichukua muda wa takriban sekunde 60, mazingira
yaliyowafanya baadhi ya waalikwa kuanza kunong’ona kuwa, kilichofanyika
ni usagaji.
Beranda » Tanpa Label » AIBU GANI HII: SHILOLE ANASWA LIVE AKILANA DENDA NA MSANII MWENZAKE WA KIKE...SHUHUDIA MWENYEWE HAPA..
0 Komentar untuk "AIBU GANI HII: SHILOLE ANASWA LIVE AKILANA DENDA NA MSANII MWENZAKE WA KIKE...SHUHUDIA MWENYEWE HAPA.."