STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Alikiba amekanusha kwamba ana ugomvi na nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ kama ilivyokuwa ikifahamika na wadau wengi wa muziki huo.
Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show kinachorushwa na Clouds TV, alisema hana ugomvi na msanii yeyote kwani anajitambua na hawezi kuendeleza chuki na wasanii wenzie.
Diamond aliwahi kunikosea sana, lakini mimi kwa sababu sio mtu wa kukasirikika niliamua kuachana nae na kufanya yangu, lakini nashangaa kila kukicha nasoma kwenye vyombo vya habari kwamba nilimkosea, lakini kiukweli sina ugomvi na mtu.
Katika wimbo wake wa ‘Lala salama’,
0 Komentar untuk "ALIKIBA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA DIAMOND"