Flickr Photos

Gallery

AIBU...!! MUHUDUMU WA BAA ANASWA AKILIWA URODA ENEO LA KAZI NA MTEJA...TAZAMA HAPA




Muhudumu wa kiume wa baa moja maarufu iliyopo Posta Jijini Dar hivi karibuni alinaswa akifanya ufuska kwa kumnyonya maziwa hadharani mteja wake na kuacha kazi.


Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa pia na wahudumu wa baa hiyo ambapo awali dada huyo alionekana kukolea kilaji kupita kiasi na kukosa stamala na baadaye kujikuta akifanya upuuzi huo.


Kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Chambuso alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya meneja wake kufika na kushuhudia tukio hilo kisha kumuamuru kuvua jezi za ofisi kisha kuondoka bila kutoa maelezo.
Tag : LAANA
0 Komentar untuk "AIBU...!! MUHUDUMU WA BAA ANASWA AKILIWA URODA ENEO LA KAZI NA MTEJA...TAZAMA HAPA "

Back To Top