Kuanzia wiki iliyopita Alikiba ameonekana kwenye promo ya kipindi cha Sporah ambacho kinatarajiwa kuruka kesho Jumanne. Miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni kuhusu anavyomzungumzia Diamond kama mtu anayeonekana kuchukua nafasi yake kwenye muziki hasa katika kipindi hiki alichokaa kimya. Majibu ya Kiba yameonesha moja kwa moja kuwa bado ni watu ambao hawawezi kupikika chungu kimoja.
Usiku wa kuamkia leo Diamond nae kupitia Instagram ameandika caption ambayo iko kwenye mafumbo na haitaji jina la mtu yeyote lakini mashabiki wameng’amua kuwa ni dongo kwa Alikiba.
Hiki ndicho alichokiandioka Diamond:
“Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke… Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa Mengine ili nilete Sifa na Heshima Nchini kwetu….”
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wa facebook na Instagram:
Mo Kipanga
Teh teh teh! Miss cnderela dongo lako hlo… Khasante Thomass..#kwel Platnumz unashndana kmataifa unaweza uckate tamaa kaz kaz mnyamwez.!
Brightness Bhoke David Machango
Hahaaa aliiiiiii lako hiloooo ati Diamond Platnumz hawezi shindana na mimi ashindane na under ground mbutaaa atii mimi si level yake waiii nilikuwaga nakupenda kiba but kwa hili imeonyesha ni jinsi gani mtoto wa kiume una wivu. Ati kisa ulianza kutoka wewe loooh walitoka akina mr nice wako wapiiii??? Halafu eti kisa uliimba na R.Kelly basi wajiona uko juu looh poleeee. Huyo R.Kelly mwenyewe ulimpa shida akawa anashindwa akupachike wapi. Pili ule wimbo ulipata bahati coz ilikuwa ni project sasa kama wewe wajiamini go and face R.Kelly mpige single moja kwanza huko mbali kamuombe msanii yeyote africa saa hii mpige collabo tuone. Binadamu sijui tukoje mwenzio akifanya vyema waona ugumu gani kumpa sifa yake? Ningekuona bonge ya msanii kama ungekubali Diamond anapiga kazi. Wivu na majungu tuachie watoto wa kike ebooo. Keep it up Diamond Platnumz usiyumbishwa na waliokosa dira piga kazi afu kama vipi mwambie unamkubali ili aone aibu. God be wih u braza
Cholo Red Sea
wanasema ni JOTO HASIRA….. Ally kiba wivu unamsumbua…Dimond keep going bro in International Level…achana na malumbano yaso na msingi….Let’s go Mdogomdogo na Bam Bam…..
prettykittyonce
@officialalikiba @diamondplatnumz patananeniiii bhanaaaa….mkiongeza nguvu kwa pamoja mtafika mbali zaidi….jamaniii umoja ni nguvu @babutale @mkubwafella jamani wapatanisheni vijana wetu. They are both talented….matusi yatazidisha chuki baina ya wahusika….Mimi nawapenda jamaniii @diamondplatnumz @officialalikiba mnafaidisha watu jamaniii…nyie si waislamu Na huu ni mwez wa toba basi msamehane muanze upya….
husseinjohburg
Kwakweli alikiba kasikitisha xana hasa kwa wa2 intellectual ambao wanaupeo wakufikir m2 anaulizwa na sudybrown unabifu anasema hana uku kwa sporah anasema ajiskii kuongea nae sasa ka2ona watanzania mabwege xana a2nauwezo wakufikir au???alafu kibaya zaid hana namba ya msanii mwenzake uku wanataka mziki ukue sasa mziki utakuaje apo kwa staili hiyo kwakweli mtatafuta mchawi katka mziki wenu y haukui kumbewachaiwi ninyee wenyewe embu badiliken wasanii wakitanzania ila media nazo nichanzo kikubwa xana cha kubomoa na kubomoa
Jdrutechura
Ki ukweli Ally kiba na Diamond wakishirikiana wataleta Sifa kubwa kwa taifa nakubali tofauti zipo katika binadamu ila rekebisheni bana nyie ni kati ya majembe katika muziki so pataneni na mshirikiane muache kupigana vijembe nawapenda sana and mnajua
sweetfortu
Tatizo allykiba watu wanamdanganya tunelumiss rudi blah blah nyingi kwa hiyo yeye anajihisi yupo juu sana kumbe anajidanganya.nimeona tangazo lako la sporah show maneno aliyeongea ni kishenzi achana nae kaza buti mungu atakusimamia.kunya anye kuku akinya bata kaharisha wakiongea wao sawa ukiongea wewe majungu jamani chibu naye binadamu ana moyo unafikiri hawaoni hao wanaoposti kiba hichi mara kile .kaza moyo mungu atakusaidia.
Kichujio
Ali kiba asha kutafuta kiki bhana piga kazi watu waone muashe dai apige kazi bhana mana c umeckia mdogo mdogo na ali towa nyimbo yako watu wackie co maneno nn dai fanya kazi mwanangu bifu azia ishu
taina18no
Naseeb dont let that bother you…if someone wants to compete ama kushindana na wewe ni kwasababu wew ndo competition yake kubwa as in….anataka awe kama wewe. Inshort that person simply hates you with passion na anabaki kujiuliza kwanin isiwe yey kweny hyo nafasi yako where as hapo ulipo ur representing Tanzania very nicely so jus continue being his competition na kwa namna hyo atakaza kamba zake na kuwork hard ili aibuke upya….all in all know that wew ni nomaa
thegreattarimo
@diamondplatnumz siionii haja ya kurushianaa vijembe kwenye mitandao ya kijamii kiukweliii nyie wote mpo juu na mnapendwa sana na mashabkii wekenii tofautii zenuu pembenii huu ndo mda wa kuiwekaa Tanzania yetu sehem flan ntafurahii sana cku nikisikiaa collabo lako na @officialalikiba kwa nn msininii tu 5h
swahiba5
@diamondplatnumz_ Wewe upo juu,Achana nae Ally kiba kafuliaaa,anajaribu ku creates conflicts zisizo za msingi ili utumie muda mrefu ktk malumbano na kuacha kazi zako za msingi….keep it @diamondplatnumz_ Silence is a good answer for foolish. U r great! Let them talks,do your job bro! Zote ni chuki binafsi hizo…anatamani afike ulipo lkn wapiiii…litabaki jina tu km yupo….This is your Time @diamondplatnumz_ …..Let’s Go to International levels now!
0 Komentar untuk "DIAMOND AMTOLEA UVIVU ALIKIBA.. soma alichokiandika"