Gari
aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia
mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja
hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi
Hii ndio hali halisi ya gari baada ya kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi uliopelekea kuama njia.
Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili
Pia
katika daraja hili liloharibika kuna kibao kinachoonesha kuwa
barabara imefungwa na pia kuna kamba za njano na nyekundu zikionesha
kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza gari hilo aina ya Noah liliweza
kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi.
Tag :
AJALI
0 Komentar untuk "GARI AINA YA NOAH YAANGUKA DARAJANI"