Mdogo wa staa wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully’, Hashim Masokero ‘Hakeem Five’ akijitwalia 'jiko'.
MSHTUKO! Mdogo wa staa wa Bongo Fleva, Abdul Sykes
‘Dully’ ambaye naye pia ni mwanamuziki, Hashim Masokero ‘Hakeem Five’,
amefunga ndoa ya kinyemela na mwanadada anayejulikana kwa jina la Janet
Stefano Maganga.
‘Hakeem Five’ akichukua picha ya ukumbusho na mke wake.
“Yaani huyu mwanamuziki amemuoa mtoto wa kaka yake Shija (mwigizaji
Deogratius) lakini aliifanya ndoa hiyo kuwa siri kwani hataki wanamuziki
wenzake wajue kwamba amefunga ndoa ya Kikristo na ameingia kanisani,”
kilisema chanzo hicho.
0 Komentar untuk "HAKEEM 5 AFUNGA NDOA SIKU MBILI BAADA YA KAKAKE DULLY KUPONDA MAMBO YA NDOA"