
Watu
wengi hutoa machozi pale wanapoachwa na wapenzi wao, Mpenzi msomaji wa
blogu yako uipendayo ya saikolojia leo nitakueleza kuhusiana na chozi la
penzi: Unajua wataalamu wa mambo ya mapenzi wanasema kuwa Mwanamke ni
mwepesi sana kutoa machozi pindi anapoachwa na mpenzi wake hii inatokana
na mwanamke kuubwa na moyo wa kuwa na penzi la rohoni.
Wataalamu wa mambo ya mahaba wanasema kuwa wanawake wameumbwa kwa penzi
la rohoni yaani la ndani tofauti na wanaume, hii ndiyo inasababisha
mwanake akiachwa na mpenzi wake hujisikia vibaya na kujiona kama hafai
kabisa kwa mwanaume yoyote kitendo ambacho kinamfanya anatoa machozi kwa
wingi sana.
Mwanaume kaumbwa kwa penzi la fikra kama wanavyotufahamisha wataalamu wa
mapenzi hii ndiyo maana wanaume wengi ni vigumu sana kulia pale
wanapoachwa na wapenzi wao japo wapo wanaolia lakini sio wengi japokuwa
huwa wanaumia sana rohoni lakini kutokana na elementi walizoumbwa nazo
inakuwa vigumu kutoa machozi. "Nakusihi uendelee kuburudika zaidi na
blogu yako usisahau kutoa maoni"
Tag :
MAPENZI
0 Komentar untuk "Hakika Uchungu wa Penzi Ni Zaidi Ya Mwiba Kwenye Mtima Wangu!!! Bofya Hapa"