Kwa
sasa hapa town penzi ambalo linaongelewa sana ni la mwanamziki shaa
pamoja na producer mkongwe master j, shaa amekiri kutoka kimapenzi na
jamaa huyo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha radio hapa bongo, hata
hivyo haijafahamika lini wawili hao watafunga ndoa
0 Komentar untuk "HIZI NDIZO MBWEMBWE ZA PENZI LA MASTA J NA SHAA"