baada ya kutuhumiwa kutoa mimba mwana dada kutoka nchini kenya Huddah ameibuka na kukanusha vikali tuhuma hizo, katika kauli ambayo mwanadada huyo aliitoa takribani kama miezi mitano iliyopita mwanadada huyo alidai kuwa anatarajia kuwa mama, sasa tatizo kadri miezi inavyosogea watu walitarajia kuona tumbo la mwanadada huyo likiongezeka lakini imekua tofauti jambo lililofanya aanze kuandamwa na vyombo vya habari nchini humo wakisema kuwa mwanadada huyo ametoa mimba, hatimaye hii leo ameibuka na kupinga vikali kuwa hakuwa na ujauzito
HUDDAH WA KENYA AKIRI KUTOA MIMBA

0 Komentar untuk "HUDDAH WA KENYA AKIRI KUTOA MIMBA"