
Hongereni kwa mfungo na habari zenu wadau.
Jamani nimekua mhanga kwa hii kitu kwa mda mrefu , naomba niweke wazi
kua nilikua mfuasi sana wa hii kitu , kununa nuna bila sababu ya
msingi, kosa dogo kwangu kubwa, yaani kuna mda nalianzisha makusudi
anabaki anatafakari then naingia chumbani nachekaaaaaaa hadi raha, bt it
was those tymes.
Sasa sijui nimemfundisha au ye ndo kawa ticha zaidi yangu, yaani kila
baada ya miezi miwili au mitatu mnuno ndani sababu ya msingi
haijulikani, bad enaf mnuno unakua hadi cku tatu.Hapa salam tu ana shida
anauliza kiko wapi nna shida namuuliza hakuna maongezi ya ziada
then itatokea from no wea mnajikuta mnadiscus mnaombana msamaha
yanaisha, yaani hapa kuna mda mmoja anajishusha au wote mnakaza hadi
coincidence itokeee.
Sasa we r in bad terms again hivi najiuliza nini kinatushinda
kuchukulianaq , Napata tafsiri kua bado tuna mapenzi ya kitoto sasa
yanaisha lini au dawa yake nini, nimechoka jamani nisaidieni, maana
tunadisucus then after sometym inarudi, Pllllls wakongwe help me,
0 Komentar untuk "INAUMA LAKINI NDIO NJIA PEKEE YA KUDUMU NA MPENZI WAKO"