Flickr Photos

Gallery

LIL WAYNE KUWA BOSI WA CHRISTIANO RONALDO

Lil Wayne anaripotiwa kuelekea katika usimamizi wa michezo na Cristiano Ronaldo, ambaye ni mchezaji soka wa Ureno, alikuwa anasema kuwa ndo mteja wake wa kwanza. Hata hivyo, Ronaldo amekanusha mabadiliko yoyote katika usimamizi wake.


Lil Wayne inasemekana kuwa ndiye atakayekua anashughulikia masuala ya soka ya nyota Mreno Cristiano Ronaldo ya usimamizi wa michezo nchini Marekani, kwa mujibu wa TMZ.
Ronaldo atakua  mteja wa kwanza wa Wayne kama atakapoingia katika shughuli za usimamizi michezo.
 
Kampuni ya Weezy inasemekana imepangwa kufanya kazi na PolarisSports, kampuni ambayo inauhusiano na CAA na GestiFute, shirika ambalo wakala wa Ronaldo, Jorge Mendes anakofanya kazi.
Tarehe 24 mwezi wa 7, Ronaldo aliziweka picha jkatika ukurasa wake wa Instagram zimuonesha yeye akiwa na Waziri Mkuu wa Japan na wanasiasa wengine wa Kijapani wakionesha ishara kwa uma ya  YMCMB.


View image on Twitter  
Bila shaka, Lil Wayne sio rapa wa kwanza kugeuka kua wakala wa michezo. Katika miaka ya karibuni, Jay Z ilipata leseni ya uwakala kwa wanariadha katika michezo mbalimbali. Jay anawawakilisha wasanii kadhaa, ikiwa ni pamoja na Kevin Durant, Geno Smith, CC Sabathia na Skylar Diggins, miongoni mwa wengine. Ungana na TEAM UKWANZA kila mara upatapo nafasi

CR7 kakataa kua hakuna mabadiriko yoyote yale katika usimamizi wa kazi zake

Hii ndo tweet ya Cristiano Ronaldo
Tag : SOCCER, SPORTS
0 Komentar untuk "LIL WAYNE KUWA BOSI WA CHRISTIANO RONALDO"

Back To Top