Flickr Photos

Gallery

MIMI NAMPENDA MWANAUME MWENYE MISULI KWASABABU .....click

Kuna mdahalo mkubwa ambao una majibu tofauti kuhusu wanaume wenye
vifua vikubwa kama kweli wanapendwa sana na wanawake au laUnaweza 
ukakutana na mwanadada akimsifia mkaka kwamba anakifua kizuri
akimaanisha kwamba ana kifua kipana ambacho kinajengwa kwa
kufanyamazoezi maalum, aina hii ya mwanamke bila shaka inaonesha
kuwahupendelea zaidi wanaume wa aina hii na kwa hakika kama mume wake
auboyfriend wake atakuwa na kakifua kadogo hatapenda sana na wala
hataridhishwa
Tag : Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "MIMI NAMPENDA MWANAUME MWENYE MISULI KWASABABU .....click"

Back To Top