Flickr Photos

Gallery

UKIFUATA HAYA UTASIKIA RAHA ZOTE NA KUCHELEWA KUPIZI

Wakati wa kufanya Tendo la ndoa hutakiwi kuwa umetoka kufanya mazoezi ukaingia kwenye tendo la ndoa, unatakiwa uwe umetulia na kupumzika vya kutosha ndipo uingie kwenye mapenzi, hii itakusaidia wewe kuwa na nguvu za kutosha.

Pili tunakula sana vyakula vya mafuta na sukari bila kufanya mazoezi ya kuyeyusha mafuta na sukari mwilini, na ndio maana vijana wa sikuhizi huchoka sana hata kutembea tu inakuwa shida sana.. Sisi zamani tulikuwa tunauwezo wa kutembea mpaka KM 30, bila kuchoka ila kijana wa sikuhizi KM 5 tu anataka apande Daladala. kwahiyo mazoezi muhimu sana ili kuujengea mwili nguvu na uwezo kiafya.

Kuhusu kurudia Round ya pili inasababishwa na kuchoka na pamoja na kuto iandaa psycholojia yako kimapenzi pamoja na kutaka kufanya mambo hayo harakaharaka, na ndio maana wewe unashindwa kurudia tena.. Unatakiwa upumzike mpaka dakika 30, kabla hujaanza round ya pili na hutakiwi uwe na mawazo mengine zaidi ya kazi iliyo kupeleka hapo mahala husika.
Takwimu zinaweza kukushangaza kwamba zaidi ya Robo (25%) ya wanaume duniani kote husumbuliwa na tatizo la kuwahi kupizi wakati wa tendo la ndoa! 
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.

Jenga tabia ya kufanya mazoezi:
Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kupizi. Hii hutokana na hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu:
Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kupizi mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano. 
Mshirikishe mwenzako kikamilifu:
Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kukojoa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema 'ngoja' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo
Tag : Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "UKIFUATA HAYA UTASIKIA RAHA ZOTE NA KUCHELEWA KUPIZI"

Back To Top