Flickr Photos

Gallery

MPENZI WA DAVIDO KWA MAPOZI NA MITEGO HAJAMBO....mcheki

Mwanadada mwanamitindo wa Ghana Nish Kards ameripotiwa kutoka na mwimbaji wa POP wa Nigeria Davido. Nish kaweka picha zake za kuvutia sana katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Huku picha hizo akiwa kaziandia ujumbe wa ‘U can touch U CAN PLAY.’ Ungana na TEAM UKWANZA kila mara ukipata nafasi.
ZITAZAME PICHA HAPA CHINI







Tag : NIGERIA

Related Post:

0 Komentar untuk "MPENZI WA DAVIDO KWA MAPOZI NA MITEGO HAJAMBO....mcheki"

Back To Top