mapenzi.
1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI WAKO - Pindi uwapo chumbani na mpenzi wako jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi wako ulie nae kwa muda ule, epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine. Unapokuwa chumbani na mpenzi wako jitahidi kuacha mawazo tofauti yasiyohusiana na tukio mnalotaka kulitenda wewe na mpenzi wako hata kama siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira au pengine kunajambo lolote limekutokea kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na
mawazo yako yawe katika mazingira mliyopo wewe na mpenzi wako kwani mapenzi ni hisia sasa endapo kama utakuwa upo ndani na mpenzi wako halafu ukaanza kuwa unafikiria vitu vingine itapelekea kushindwa kulifurahia penzi vizuri kwani mawazo yako yatakuwa hayako pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu husika uliyopo.
2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA NA MAPENZI - Mpenzi msomaji fahamu kuwa pindi unapokuwa chumbani na mpenzi wako hupaswi kuanzisha mada zilizo nje ya mazingira husika elewa kwamba uko chumbani na mpenzi wako kwa lengo la kutaka kufurahia mapenzi hivyo
maongezi yako yanatakiwa yalenge mada husika, usianze kupiga story za ajabu ajabu jitahidi kuongelea suala zima la mapenzi kwa kumpa maneno matamu mpenzi wako ya kimahaba unaweza kuanzisha mada ila ihusiane na mapenzi na isiwe ni mada ndefu mpaka ukamboa mpenzi wako. Kuwa makini zungumza nae kwa muda mchache na viwe ni vitu vya msingi na vyenye maana usianze kuzungumzia habar za watu
0 Komentar untuk "MUHIMU: HAYA NDIYO MAMBO YA KUFANYA NA MPENZI WAKO KABLA YA SEX"