Siku ya jana nimekutana na mkosi wa aina yake ilikuwa mida ya saa 7 mchana nikitoka Sinza kuelekea Posta kufanya yangu .
Ndipo
daladala ilipofika maeneo ya Magomeni alipanda jamaa mmoja kiukweli
daladala haikuwa na abiria wengi kwani kulikuwa na siti za wazi nyingi
na mimi nilikaa mwisho kabisa wa daladala cha ajabu na kilichonishangaza
jamaa kaacha siti zote kaja kukaa na mimi akasema samahani kaka siti za
mbele huwa sizipendi huku anachekacheka.
Akaanza
kuniuliza kila kituo tukifika eti hapa ndo wapi,Maria leo fire foleni
hamna,mara nimechelewa kazini nikifika tu navaa unform haraka alivyoona
niko kimya akasema kaka vipi mbona we mpole hivyo nikajichekesha kidogo
nikamwambia kawaida tumefika Jangwani akaanza kunitongoza kaka unaitwa
nani,unaishi wapi,we ni last born nini umepanga au unaishi kwa wazazi
alafu umependeza,nataka uwe mume wangu pesa ninazo.
Kiukweli
uzalendo ulinishinda nilijikuta ninemfokea kwa nguvu na kumtusi matusi
ya maana sijui hata yalipotoka hayo matusi aibu ilimjaa sana jamaa ikawa
habari ndani ya daladala.
Ilinibidi nishuke kituo ambacho sikupashwa kushuka,watu wengine mikosi sana.
0 Komentar untuk "NIMETONGOZWA NA SHOGA LA KIUME KWENYE DALADALA"