Flickr Photos

Gallery

PENNY AMWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA


Picha nyingine Penny akionyesha pete yake laivu pasipo na kupepesa

Mtangazaji wa 93.7 EFM Radio, Penny Mungilwa , ameposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na  pete inayosemekana amevishwa na mchumba wake mpya siku za hivi karibuni, ingawa bado yeye mwenyewe hajaweka wazi kuhusiana na jambo hilo.
Picha nyingine Penny akionyesha pete yake laivu pasipo na kupepesa
Tag : MAPENZI
0 Komentar untuk "PENNY AMWEKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA"

Back To Top