Pia juzi swahiliworldplanet ilisikia kuwa penny amechumbiwa ingawa haikupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram inayoonyesha ameshachukuliwa tayari ingawa haijajulikana amechumbiwa na mwanaume gani. Vj Penny ameandika "Road trip..........site here we come....Cc @HalimaKimwana1"
Pete ya VJ Penny
Kwa upande mwingine nako kunasema kuwa mama Diamond amesema kuwa ni
lazima Diamond amuoe Wema Sepetu. Inadaiwa mama Diamond ameyasema hayo
juzi katika birthday yake ambapo alizawadiwa gari na Diamond ambaye
hakuwepo nchini lakini Wema alikuwepo kwenye shughuli hiyo.
Tag :
Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "PENNY APATA KIDUME, DIAMOND CHAMTOTO"