Well, well, well, mrembo wa Kenya aitwaye Vera Sidika a.k.a Vee Baby aliwahi kukiri mwenyewe kuwa mwili wake ndio biashara yake katika Interview aliyofanyiwa na Larry Madowo nchini Kenya kwa mujibu wa Nairobiwire, na inavyoonekana hayuko nyuma na kanuni za biashara, si wote tunajua ‘biashara ni matangazo’? najua umesema ndio.
Mrembo huyo ameanzisha application yake ya simu inayoitwa jina lake ‘Vera Sidika’ inayopatikana ‘Google Play Store’, kwaajili ya kuwarahisishia mashabiki wake (wateja) kupata huduma ya picha za ‘asset’ yake kwa urahisi zaidi.LOL!
Tag :
Cate-Laana,
KENYA
0 Komentar untuk "VERA SIDIKA KUANZISHA APPLICATION KWA AJILI YA KUONYESHA MAKALIO YAKE"