Nini Katelelo.....Leo katika pita pita mtaani nimekutana neno linaloitwa KATELELO. Nasikia ni jina la style ya kufanya sex maarufu huko Bukoba. Nimemwuliza rafiki yangu wa hukoBukoba anielezee, amebakia tu kucheka, kacheka kweli, amekataa kunieleza inafanywaje.
Basically nasikia ni Clitoris Stimulation technique ambayo nasikia mwanamke akifanyiwa hata kama tangu azaliwe hajawahi pata orgasm atapata tu. Tena zaida ya yote nasikia mwanamke anaweza mwaga maji hadi LITA 3 au hata 4.
Tag :
Cate-Laana,
Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "WAHAYA WAGUNDUA STYLE MPYA YA KUFANYA MAPENZI...ni shida"