Flickr Photos

Gallery

MPITA NJIA AGONGWA NA PIKIPIKI NA KUTELEKEZWA


Kijana aliyetambuliwa kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.

Habari zilizopatikana eneo la tukio zinadai  baada ya dereva huyo wa pikipiki kumgonga  alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza pembeni asiendele kugongwa na magari mengine,
 alikuwa akivuka barabra kureje nyumbani kwake Chamwino kwa bahati mbaya kuna boda boda litoka upande  wa Msamvu na kumgonga hata hivyo boda boda hiyo baada ya kumgonga alikimbia  Picha na Dustan Shekidele,Morogoro
 Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki 
Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada. 
 Ally akiangua kilio baada ya kupatwa na maumivu makali
 Akiingizwa kwenye gari kuelekea hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro
Tag : Cate-Laana
0 Komentar untuk "MPITA NJIA AGONGWA NA PIKIPIKI NA KUTELEKEZWA"

Back To Top